Local

Majogoro anaendelea kutamba Afrika Kusini

Joel JJ By Joel JJ
27 Sep 2023
Majogoro anaendelea kutamba Afrika Kusini

Jana Kiungo Mtanzania anayecheza Chippa United inayoshiriki ligi kuu ya Afrika kusini 'PSL' Baraka Gamba Majogoro alitwaa tuzo ya Mchezaji bora wa mechi dhidi ya Super Sport United

Baraka ambaye anatumika katika eneo la kiungo cha ukabaji aliisaidia Chippa United kupata ushindi wa 1-0 katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu ya Afrika kusini

Majogoro amekuwa chaguo la kwanza katika kikosi cha Chippa akipewa nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza

Chippa United inashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu ya Afrika Kusini

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
24m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
2h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
13h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
20h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
21h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →