Napoli - International

Osimhen katika mgogoro na Napoli Fc

Joel JJ By Joel JJ
27 Sep 2023
Osimhen katika mgogoro na Napoli Fc

Mshambuliaji raia wa Nigeria Victor Osimhen amefuta picha na video zote za Napoli kwenye page yake ya Instagram hii ni kutokana na video ya TikTok iliyopostiwa na Napoli ikionesha kumdhihaki baada ya kukosa penati kwenye mchezo wa Serie A dhidi ya Bologna uliopigwa juzi na kumalizika kwa matokeo ya suluhu

Aidha Mwanasheria wa mchezaji huo ametangaza adhma ya kuwachukulia hatua Napoli Fc akieleza kitendo hicho kimevuruga saikolojia ya mteja wake

Napoli waliweka video hiyo ya dhihaka  katika ukurasa rasmi wa klabu hiyo na kuondoa baada ya muda mfupi

Ni kawaida kwa wachezaji kutoka Afrika kukumbana na kadhia za ubaguzi wa rangi Italia, tukio alilofanyiwa Osimhen lina vinasaba vya ubaguzi

Huenda mshambuliaji huyo akaondoka katika dirisha la usajili wa majira ya baridi. Chelsea inapewa nafasi kubwa ya kuinasa saini yake endapo ataachana na Napoli.

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →