Mshambuliaji raia wa Nigeria Victor Osimhen amefuta picha na video zote za Napoli kwenye page yake ya Instagram hii ni kutokana na video ya TikTok iliyopostiwa na Napoli ikionesha kumdhihaki baada ya kukosa penati kwenye mchezo wa Serie A dhidi ya Bologna uliopigwa juzi na kumalizika kwa matokeo ya suluhu
..... download Xtra 90 App



