Tabora - Kitayosce - Local

Tabora United kumlipa Kwasi

Joel JJ By Joel JJ
29 Sep 2023
Tabora United kumlipa Kwasi

Baada ya TFF kutoa taarifa ya kufungiwa kusajili kwa klabu ya Tabora United kutokana kudaiwa na aliyekuwa mchezaji wao Asante Kwasi, Mtendaji Mkuu wa Tabora United Thabit Kandoro amesema mchezaji huyo atalipwa

Kandoro amesema madai ya Kwasi wanatarajia kuyalipia mara baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya Coastal Union

"Hamna Shida yoyote tutamlipa, awali tulikuwa na makubaliano ya malipo yake Asante Kwasi na tulikuwa tunamlipa kidogo kidogo"

"Lakini mchezaji ameona tumefikisha mwisho kumalizia deni lake, naona kaenda kulalamika kuwa hela iliyobaki ni ndogo bora tuilipe yote," alisema Kandoro

Tabora United imekumbana na rungu la kufungiwa na FIFA mara tatu katika kipindi cha miezi miwili iliyopita kutokana na malimbikizo ya madeni kutoka kwa wachezaji na makocha wake wa zamani

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
9m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →