Yanga - Local

Yanga yatinga makundi ligi ya mabingwa

Joel JJ By Joel JJ
30 Sep 2023
Yanga yatinga makundi ligi ya mabingwa

Yanga imetinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Merrikh katika mchezo wa mkondo wa pili uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Bao lililofungwa na Clement Mzize kwenye kipindi cha pili liliihakikishia Yanga ushindi wa jumla wa mabao 3-0

Mzize aliweka kambani bao hilo kwa kichwa akiunganisha krosi ya Joyce Lomaliza Mutambala

Ilikuwa ni Aziz Ki Day iliyofana mashabiki wa Yanga wakifurika dimba la Azam Complex kuhanikiza ushindi huo

Ni takribani miaka 25 imepita tangu Yanga icheze hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa, Wananchi wamerejea katika hatua hiyo

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
13m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →