Simba - Local

Simba yatinga makundi Ligi ya Mabingwa

Joel JJ By Joel JJ
1 Oct 2023
Simba yatinga makundi Ligi ya Mabingwa

Simba imekata tiketi hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika licha ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Power Dynamos katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Power Dynamos walitangulia kwa bao la mapema kwenye kipindi cha kwanza kabla ya Simba kusawazisha kwenye dakika ya 69 kwa bao la kujifunga mlinzi wa Power Dynamos

Ulikuwa mchezo wa vipindi viwili kipindi cha kwanza Simba ilicheza taratibu lakini kasi iliongezeka kwenye kipindi cha pili hasa baada ya kuingia nahodha John Bocco na Willy Onana

Simba imetinga makundi kwa faida ya bao la ugenini licha ya matokeo ya sare ya mabao 3-3

Simba sasa inaungana na Yanga kuwa timu mbili zilizotinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →