Kuna uwezekano mkubwa wa winga wa England Jadon Sancho kuondoka Manchester United wakati wa uhamisho wa Januari, huku Borussia Dortmund wakipania kumrejesha mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kwenye ligi kuu ya Ujerumani maarufu Bundesliga. (Sky Germany)
..... download Xtra 90 App



