Yanga - Simba - Local

Yanga, Simba zakwepana makundi CAF CL

Joel JJ By Joel JJ
6 Oct 2023
Yanga, Simba zakwepana makundi CAF CL

Droo ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo huko Afrika  Kusini ambapo Yanga imepangwa kundi D na watani zao Simba wakipangwa kundi B

Katika kundi D Yanga itachuana na Al Ahly (Misri), Medeama (Ghana) na CR Belouizdad (Algeria)

Kundi B ambalo wamo Simba lina Jwaneng Galaxy, Asec Mimosas na Wydad Athletic

Kundi A lina Nouadhibou, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns na Pyramids

Kundi C lina Etoile Du Sahel,  Al Hilal, Petro Atletico na Esperance

Mechi za hatua ya makundi zitaanza kupigwa Novemba 24/25 mwaka huu

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
24m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
2h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
13h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
20h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
21h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →