Yanga - Geita - Local

Yanga yatakata Mwanza, Ihefu chali mbele ya KMC

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Oct 2023
Yanga yatakata Mwanza, Ihefu chali mbele ya KMC

Ligi Kuu ya NBC imeendelea leo kwa mechi mbili kupigwa ambapo mabingwa watetezi Yanga walikuwa mkoani Mwanza kuikabili Geita Gold katika uwanja wa CCM Kirumba

Yanga imerejesha furaha ya mashabiki wake baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold

Mabao ya Yanga yalifungwa na Pacome Zouzoua, Stephane Aziz Ki na Maxi Nzengeli

Ulikuwa mchezo ambao Geita Gold walijihami zaidi kwenye kipindi cha kwanza lakini haikuwasaidia kwani mpaka mapumziko walikuwa nyuma kwa mabao 2-0

Ushindi huo umeirejesha Yanga kwenye nafasi ya pili baada ya kufikisha alama 12, sawa na Simba lakini Yanga ina uwiano mzuri wa mabao

Simba ina mchezo mmoja wa kiporo dhidi ya Singida FG utakaopigwa uwanja wa LITI kesho Jumapili

Katika mchezo mwingine, KMC imeichapa Ihefu Fc bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

KMC imefikisha alama 10 na kusogea mpaka nafasi ya pili

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
8h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’