Droo ya makundi Afcon 2023 ni leo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 12th October 2023


Droo ya makundi Afcon 2023 ni leo

Droo ya makundi ya michuano ya Afcon 2023 inafanyika leo huko Ivory Coast muda ni saa 4 usiku kwa saa za Tanzania

Tanzania imewekwa Pot 4 sambamba na Guinea Bissau, Msumbiji, Namibia, Angola na Gambia

Nchi zitapangwa katika makundi sita ambapo kila kundi litakuwa na timu nne


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.