Simba - Yanga - Azam - Taifa Stars - Tanzania - Local

Stars kupimana ubavu na Sudan leo

Joel JJ By Joel JJ
15 Oct 2023
Stars kupimana ubavu na Sudan leo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' iko Saudi Arabia ambapo leo Jumapili, itachuana na Sudan katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki

Mchezo huo ambao uko kwenye kalenda ya FIFA, matokeo yake yana umuhimu mkubwa kwenye kuboresha viwango 'ranking' za FIFA

Stars ilitua Saudi Arabia jana tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa saa 1 usiku

Kocha Mkuu wa Stars Adel Amrouche alisafiri na kikosi cha wachezaji 28

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
12m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →