Klabu ya Ihefu Fc imemtangaza Moses Basena kutoka Uganda kuwa kocha mkuu wa timu hiyo
Basena anatua Ihefu Fc kuchukua nafasi ya Zuberi Katwila aliyeachana na timu hiyo kwa makubaliano ya pande mbili hivi karibuni
Basena amewahi kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Uganda pia akiwa amewahi kuipa ubingwa wa Uganda klabu ya URA na nchini humo

ADVERTISE HERE