Mchezo kati ya Ubelgiji na Sweden wa kufuzu EURO 2024 jana usiku haukuendelea baad aya mapumziko kufuatia wachezaji kukataa kujitokeza kucheza kipindi cha pili na mchezo huo kufutwa baada ya mashabiki wawili wa Sweden kupigwa risasi na kufariki katika Jiji la Brussels mji mkuu wa Ubelgiji
..... download Xtra 90 App



