Mabadiliko mengine Ratiba Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ β€’ 19th October 2023


Mabadiliko mengine Ratiba Ligi Kuu

Bodi ya Ligi imeusogeza mbele kwa siku moja mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc uliokuwa upigwe Jumapili, Oktoba 22, sasa utapigwa Jumatatu, Oktoba 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabadiliko hayo yametokana na kuingilia kwa ratiba ya mchezo wa AFL kati ya TP Mazembe dhidi ya Esperance ambao utapigwa Oktoba 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.