Yanga - Azam - Local

Gamondi apania kuendeleza ubabe kwa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Oct 2023
Gamondi apania kuendeleza ubabe kwa

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema wamejipanga kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Gamondi amesema anafahamu ugumu wa mchezo huo kwani anakutana na moja ya timu bora kwa sasa Tanzania lakini lengo lake ni kuona vijana wake wanaondoka na alama zote tatu

"Tunafahamu tunakwenda kupambana na timu ngumu Azam Fc, moja ya timu bora hapa Tanzania lakini sisi tuna malengo ambayo tunahitaji kuyatimiza"

"Nafurahi tumerejea katika uwanja wa Benjamin Mkapa, ari ya kikosi iko juu, kila mmoja ana shauku kubwa ya kucheza mchezo huo," alisema

Gamondi amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi katika dimba la Benjamin Mkapa kuishangilia timu yao kwani anaamini shabiki ni mchezaji wa 12 uwanjani

Akizungumza kwa niaba ya wachezaji wenzake, winga Skudu Makudubela amewataka mashabiki wa Yanga wajtokeze kwa wingi uwanjani kwani wamewaandalia burudani itakayoambatana na ushindi mnono

"Kama kocha alivyosema, tunawahitaji mashabiki waje kwa wingi kwani wao ni wachezaji wa 12. Tunafahamu mashabiki wetu wanahitaji burudani ambayo ni kushangilia magoli hivyo tunawaahidi tutawapa burudani hiyo," alisema Skudu

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’