Simba - Local

Robertinho kuwabadilishia mbinu Al Ahly

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Oct 2023
Robertinho kuwabadilishia mbinu Al Ahly

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amebainisha kuwa kikosi chake kitakuwa na mabadiliko kwenye mchezo wa mkondo wa pili robo fainali African Football League dhidi ya Al Ahly

Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Kimatifa wa Cairo saa 11 jioni

Akizungumza katika Mkutano na wanahabari kuelekea mchezo huo, Robertinho amesema anatambua utakuwa mchezo mgumu lakini atafanya mabadiliko muhimu katika kikosi ili kuhakikisha wanapata ushindi huko Misri

"Nafahamu ni mechi ngumu na kubwa barani Afrika, nimepanga kuingia na mpango tofauti na ilivyokuwa kwenye mchezo wa kwanza"

"Nitafanya mabadiliko ya wachezaji kwenye baadhi ya maeneo ili tuweze kucheza vizuri na kupata ushindi," alisema Robertinho

Simba inakamilisha maandalizi ya mwisho leo, mazoezi yatafanyika saa 11 jioni kwenye uwanja wa Cairo

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
1h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
5h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
5h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
6h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
7h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
7h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
8h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’