Simba - Local - Ihefu

Simba yaendeleza ubabe Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
28 Oct 2023
Simba yaendeleza ubabe Ligi Kuu

Mnyama Simba Sc ameunguruma uwanja wa Benjamin Mkapa akiendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 msimu huu baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu

Dhamira ya Simba kuusaka ubingwa imeendelea kudhihiri kwa wababe hao wa soka ukanda wa Afrika Mashariki kuendelea kushusha vipigo kwa kila anayekuja mbele

Haukuwa mchezo mwepesi kwa vijana wa Robertinho lakini suala la alama tatu ndio matokeo waliyohitaji na walifanikiwa kuyapata

Jean Baleke aliitanguliza Simba kwa kufunga bao la kwanza dakika ya 13 akitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Ihefu Fc

Walima mpunga hao kutoka Mbarali wakarejea mchezo kwa kusawazisha bao kupitia kwa Ismail Juma kabla ya Moses Phiri hajaihakikishia Simba alama tatu muhimu ambazo zimewafanya wafikishe alama 18 sawa na Yanga lakini Simba ikiwa na mechi moja ya kiporo

Phiri ameendelea kuonyesha thamani yake licha ya kutopata muda mrefu wa kucheza. Phiri amefikisha mabao matatu msimu huu

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
5h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
6h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
8h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
8h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
9h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
9h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
9h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
9h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
10h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
12h ago
READ MORE →