Azam - Local

Azam Fc yasitisha kuingia bure Azam Complex

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Oct 2023
Azam Fc yasitisha kuingia bure Azam Complex

Tangu msimu uliopita, klabu ya Azam Fc iliweka utaratibu wa mashabiki kuingia bure kushuhudia mechi za timu hiyo zinazopigwa uwanja wa Azam Complex

Shabiki alitakiwa kuvaa jezi yoyote ya Azam na kuruhusiwa kuingia Azam Complex kushuhudia mechi ya matajiri hao kutoka Chamazi

Hata hivyo utaratibu huo haukuwepo kwenye mchezo uliopita wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc, mashabiki walitakiwa kulipa viingilio

Mashabiki wachache wakaingia kushuhudia mchezo huo ambao Azam Fc walikubali kipigo cha mabao 3-1 nyumbani

Afisa Habari wa Azam Fc Hasheem Ibwe amethibitisha kuwa kuanza sasa mashabiki watatakiwa kulipa viingilio kama ilivyokuwa zamani

Pamoja na kuwa hakutaka kuweka wazi kwa nini wamebadili utaratibu, imeelezwa kuwa moja ya sababu ni zomea zomea wanayokutana nayo Azam Fc kutoka kwa mashabiki

Idadi kubwa ya mashabiki ambao wamekuwa wakiingia bure sio wa Azam Fc, mara nyingi hushangilia timu pinzani badala ya Azam

More Stories

Madrid Derby: Atletico na Real kwenye vita ya majirani
Madrid Derby: Atletico na Real kwenye vita ya majirani
8m ago
READ MORE β†’
Hii hapa rekodi tamu ya Barker Ligi Kuu
Hii hapa rekodi tamu ya Barker Ligi Kuu
2h ago
READ MORE β†’
Sundowns kuchuana na Al Ahli katika vita ya Afrika na Asia
Sundowns kuchuana na Al Ahli katika vita ya Afrika na Asia
2h ago
READ MORE β†’
Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
Ft: Yanga 1-0 St George, Yanga yapata ushindi mechi ya kirafiki.
16h ago
READ MORE β†’
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
Dockers Derby yarudi baada ya miaka 14, Ulinzi wa London ukiimarishwa.
22h ago
READ MORE β†’
Kocha Dimitar Pantev ateuliwa kuwa kocha mpya wa Richard Bay.
Kocha Dimitar Pantev ateuliwa kuwa kocha mpya wa Richard Bay.
22h ago
READ MORE β†’
Sandaland kuchukua hatua kufuatia kauli za Makonda juu ya jezi za Taifa stars
Sandaland kuchukua hatua kufuatia kauli za Makonda juu ya jezi za Taifa stars
22h ago
READ MORE β†’
Tuchel awarejesha Trent na Palmer kikosi cha England
Tuchel awarejesha Trent na Palmer kikosi cha England
23h ago
READ MORE β†’
Wizara kuunda kamati kuchunguza mkataba wa jezi timu za taifa
Wizara kuunda kamati kuchunguza mkataba wa jezi timu za taifa
1d ago
READ MORE β†’
Pyramids ya mokwena haishikiki misri, yaandelea kuongoza msimamo
Pyramids ya mokwena haishikiki misri, yaandelea kuongoza msimamo
1d ago
READ MORE β†’