Simba - Yanga - Local

Balozi wa Uingereza azitembelea Simba, Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
31 Oct 2023
Balozi wa Uingereza azitembelea Simba, Yanga

Mapema leo Balozi wa Uingereza nchini Tanzania David Concar alizitembelea klabu kongwe nchini Simba na Yanga na kufanya mazungumzo nazo

Mazungumzo hayo yalilenga ushirikiano kwenye maendeleo ya soka

Alianzia Osterbay zilipo ofisi za klabu ya Simba na baadae kuelekea Salamander Tower zilipo ofisi za klabu ya Yanga

Kocha huyo pia alipata nafasi ya kushuhudia mazoezi ya Simba Mo Simba Arena na jioni alitarajiwa kuelekea Avic Town kushuhudia mazoezi ya klabu ya Yanga

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
2h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
2h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
6h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
10h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
11h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
12h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’