Mazungumzo kati ya Manchester United na beki wao Aaron Wan-Bissaka kuhusu mkataba mpya yanaonekana kukwama. United sasa wanafikiria kutumia kifungu cha nyongeza ya miezi 12 katika mkataba wa sasa wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25. (Daily Mail)
..... download Xtra 90 App



