Kiungo mshambuliaji wa JKT Tanzania Hassan Dilunga anatarajiwa kuwa nje ya uwanja wa miezi mitatu baada ya kupata majeraha
Dilunga aliumia katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji uliopigwa uwanja wa Azam Complex, JKT wakipoteza kwa kufungwa bao 1-0
Taarifa iliyotolewa na JKT Tanzania imethibitisha kuwa nyota huyo wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa, atakuwa nje kwa miezi mitatu kuuguza majeraha

ADVERTISE HERE