Simba - Local

Mamelodi, Wydad kuchuana fainali AFL

Joel JJ By Joel JJ
2 Nov 2023
Mamelodi, Wydad kuchuana fainali AFL

Mchezo wa fainali ya michuano ya African Football League, utazikutanisha Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya Wydad Athletic ya Morocco

Fainali hiyo itakuwa kumbukumbu ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu uliopita Wydad wakitinga fainali kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Sundowns katika mchezo uliopigwa Afrika Kusini. Mchezo wa kwanza uliopigwa Morocco ulimalizika kwa sare ya bao 1-1

Mchezo wa kwanza wa fainali utapigwa Novemba 05 huko Morocco na mechi ya marudiano kupigwa Novemba 11 nchini Afrika Kusini

Wydad walitinga fainali ya michuano hiyo kwa ushindi wa mikwaju ya penati 5-4 dhidi ya Esperance baada ya kuchapwa bao 1-0 na Esperance katika mchezo wa nusu fainali mkondo wa pili. Wydad walishinda bao 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza

Mamelodi wao waliwatupa nje Al Ahly baada ya kuwalazimisha suluhu ya bila kufungana huko Misri, Mamelodi wakishinda bao 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza

Al Ahly waliponea chupuchupu mbele ya Simba ya Tanzania katika robo fainali wakitinga nusu fainali kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya mabao 3-3 katika mechi zote mbili za robo fainali

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
22m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
2h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
13h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
20h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
21h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →