Yanga - Simba - Ihefu - Local

Robertinho, Aziz Ki washinda tuzo Ligi Kuu Oktoba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Nov 2023
Robertinho, Aziz Ki washinda tuzo Ligi Kuu Oktoba

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira ametwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi Oktoba 2023

Robertinho ametwaa tuzo hiyo baada ya kuiongoza Simba kushinda mechi zote tatu zilizochezwa katika mwezi Oktoba

Ametwaa tuzo hiyo akiwashinda kocha wa KMC Abdulhamad Moalin na Miguel Gamondi wa Yanga

Katika mwezi Oktoba Robertinho aliiongoza Simba kushinda mechi dhidi ya Prisons, Singida BS na Ihefu Fc

Nae kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba 2023 Ligi Kuu ya NBC

Aziz Ki ameshinda tuzo hiyo baada ya kufunga mabao manne katika mechi za ligi kuu walizocheza Yanga mwezi Oktoba

Ki alichuana na Maxi Nzengeli na Moses Phiri wa Simba

Tuzo ya Meneja bora wa mwezi ilikwenda kwa Malule Omar, Meneja wa uwanja wa Highland Estates, Mbarali

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’