JKT Queens imeanza vibaya michuano ya Ligi ya Mabingwa ya Wanawake baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Mamelodi Sundowns kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi uliochezwa jana Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly, Ivory Coast
..... download Xtra 90 App



