Simba - Local

Robertinho mtegoni Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Nov 2023
Robertinho mtegoni Simba

Baada ya mchezo dhidi ya Yanga ambao ulimalizika kwa kipigo cha aibu cha mabao 5-1, uongozi wa Simba umekuwa kimya lakini huenda wakaibuka na mshindo mkubwa

Baadhi ya viongozi wenye ushawishi kwenye Bodi, wameomba Bodi ikutane kwa dharura kujadili na kuamua juu ya hatma ya Kocha Robertinho Oliveira na benchi lake la ufundi

Kumekuwa na maoni tofauti baada ya mchezo dhidi ya Yanga, ukweli ni kuwa viongozi wa Simba pia wameumizwa sana na matokeo hayo, kiuhalisia hakuna aliyetarajia kama yangetokea

Kocha Robertinho ndiye aliyeteka mijadala kila kona baadhi wakitaka aondolewe huku wengine wakipendekeza Kocha Juma Mgunda aongezwe kwenye benchi la ufundi ili wasaidiane

Simba inaelekea kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa, ipo hofu kama itaweza kufanya vizuri katika michuano hiyo kwa kuangalia mwenendo wake msimu huu katika mechi za Kimataifa

Msimu huu Simba imepata sare mechi zote za Kimataifa kuanzia raundi ya kwanza ligi ya mabingwa dhidi ya Power Dynamos na mechi mbili za AFL dhidi ya Al Ahly

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
3m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
32m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’