Yanga - Local

Mshery amerejea uwanjani baada ya miezi tisa

Joel JJ By Joel JJ
9 Nov 2023
Mshery amerejea uwanjani baada ya miezi tisa

Mlinda lango wa Yanga Aboutwalib Mshery jana alirejea uwanjani baada ya kukosekana kwa takribani miezi tisa

Mshery alidaka dakika zote 90 za mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union uliopigwa uwanja wa Mkwakwani Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0

Mshery amesema sasa yuko fit kwa asilimia 100% kuipambania Yanga na timu ya Taifa

"Takribani miezi tisa bila mechi yoyote ya ushindani na haikuwa rahisi mpaka kufikia hapa nilipo sasa. Alhdulilah sasa hivi nipo fiti na nipo Tayari kuipambania bendera ya nchi yangu na nembo ya timu yangu, Yanga," aliandika Mshery kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Mshery ni miongoni mwa wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026

Stars itacheza mechi mbili dhidi ya Niger na Morocco

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →