Simba - Namungo - Local

Namungo Fc yaigomea Simba uwanja wa Uhuru

Joel JJ By Joel JJ
9 Nov 2023
Namungo Fc yaigomea Simba uwanja wa Uhuru

Simba imeshindwa kuondoka na alama zote tatu kwenye uwanja wa Uhuru baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Namungo Fc walikuwa wa kwanza kufunga bao la uongozi kwenye dakika ya 29 kupitia kwa Reliants Lusajo aliyetumia vyema makosa  ya safu ya ulinzi ya Simba

Hata hivyo Simba ilirejea na kasi kubwa kwenye kipindi cha pili na kufanikiwa kusawazisha bao hilo kupitia Jean Baleke

Baleke amefikisha mabao saba sawa na Maxi Nzengeli na Stephane Aziz Ki wote wa Yanga

Huo ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Simba tangu wamtimue aliyekuwa kocha wao mkuu Robertinho Oliveira

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
25m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
2h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
13h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
20h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
21h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →