Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam - Local

TFF yatangaza viingilio Stars vs Morocco

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Nov 2023
TFF yatangaza viingilio Stars vs Morocco

Wakati huu wa mapumziko ya kalenda ya FIFA, Taifa Stars inatarajiwa kucheza mechi mbili za kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026

Mchezo wa kwanza ni dhidi ya Niger utapigwa Novemba 18 huko Morocco na mchezo wa pili ni dhidi ya Morocco ukipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Novemba 21

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo ambao Stars inahitaji alama zote tatu nyumbani

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’