Simba - Local

Simba kushusha kocha wiki hii

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Nov 2023
Simba kushusha kocha wiki hii

Baada ya mapumziko ya siku chache, kikosi cha Simba kimerejea mazoezini leo kuanza maandalizi ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Asec Mimosas

Mchezo huo utapigwa Novemba 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Simba imerejea mazoezini ikiwa bado iko chini ya Kaimu Kocha Mkuu Daniel Cadena na Kocha Msaidizi Seleman Matola wakati mabosi wa Simba wakiendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema wiki hii watamtambulisha Kocha Mpya ambaye atakuja na kocha msaidizi

"Tunakamilisha mchakato wa kupata kocha mpya, sio muda mrefu tutamtambulisha sambamba na kocha msaidizi. Tunatarajia ataiandaa timu kuelekea mchezo dhidi ya Asec Mimosas," alisema Ahmed

Simba imeweka malengo ya angalau kutinga nusu fainali ya ligi ya mabingwa ikiwa kundi B sambamba na Asec, Jwaneng na Wydad

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
31m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’