Yanga - Simba - Local

Yanga yasambaza mabango ya 5G Dar

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Nov 2023
Yanga yasambaza mabango ya 5G Dar

Licha ya kutishiwa kushitakiwa na watani zao Simba kwa kutumia logo yao kwenye mabango ya ushindi wa mabao 5-1 ambayo Yanga wanayasimika kwenye mitaa ya jiji la Dar es salaam, Wananchi wameendelea kusimika mabango hayo ya 5G

Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick ametoa ufafanuzi ambapo amesema jambo kubwa la kwanza lililofanywa na Yanga kupitia mabango hayo ni kufurahia ushindi wao dhidi ya watani zao lakini pia kutambua thamani ya Wadhamini wao na hivyo kufungua mlango wa fursa kwa Wadhamini zaidi kujitokeza kuweka fedha zao Yanga

"Wakati watu wengi wanaona 5G kwenye bango, sisi tunatambua mchango na thamani ya wadhamini wetu ambao ni @tzsportpesa @gsmgroupofcompanies @haiertanzania @azamtvtz na @nic_insurance"

"Wadhamini hawa wameendelea kuifanya Yanga itambe na kusimika mimara ya 5G toka ligi ianze, tunatumia fursa hii kuwaalika wadhamini wengine ambao wangependa kudhamini 5G zinazokuja ndo muda sasa wa kuchangamkia fursa"

"Tuendelee kupiga picha kwenye bando, kisha kuzipost huku ukiutag ukurasa rasmi wa @yangasc ili ujishindie zawadi nono," aliandika Simon kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Mwenyekiti wa zamani klabu ya Simba Ismail Aden Rage amewashauri Wanasheria wa klabu hiyo kuchukua hatua ya kudai fidia kwa nembo ya Simba kutumika katika mabango hayo yenye mtazamo wa kibiashara

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
10h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’