TFF - Zanzibar - Local

Karume Boys yatwaa CECAFA U-15

Joel JJ By Joel JJ
16 Nov 2023
Karume Boys yatwaa CECAFA U-15

Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 15 kutoka Zanzibar 'Karume Boys' imetwaa taji la michuano ya Cecafa U-15 mwaka 2023 iliyokuwa inafanyika nchini Uganda

Karume Boys imeshinda kwa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi ya wenyeji Uganda baada ya kumalizika kwa dakika 90 wakifungana bao 1-1

Wakati nafasi ya pili ikienda kwa Uganda, nafasi ya tatu imeshikwa na Tanzania Bara baada ya kushinda bao 1-0 kwa Sudan Kusini

More Stories

Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe

1m ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu

2h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru

3h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake

Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga

Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”

4h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2

5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo

16h ago
READ MORE →