Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam - Local

Tanzania yaichapa Niger 1-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
18 Nov 2023
Tanzania yaichapa Niger 1-0

Bao la kipindi cha pili lililofungwa na winga Charles M'mombwa limeihakikishia Tanzania ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2026

Ulikuwa mchezo ambao pengine Tanzania ingeweza kuibuka na ushindi mnono zaidi kama nahodha Mbwana Samatta na Haji Mnoga wangetumia vyema nafasi walizopata

Ushindi muhimu kwa Tanzania ugenini, alama tatu muhimu kuelekea mchezo wa pili dhidi ya Morocco

Stars inaondoka Morocco kurejea Tanzania tayari kwa mchezo dhidi ya Morocco utakaopigwa Jumanne, Novemba 21

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
6h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
6h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
10h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
14h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
16h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
17h ago
READ MORE β†’