Simba - Local - Transfer

Simba kutangaza Kocha Mpya wiki hii

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Nov 2023
Simba kutangaza Kocha Mpya wiki hii

Klabu ya Simba inatarajiwa kumtangaza kocha wake mkuu wiki hii kwani mchakato wa kumpata kocha kocha huyo uko mwishoni

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Simba, zimebainisha kuwa kocha huyo atatangazwa kabla ya Simba kuikabili Asec Mimosas mchezo wa kwanza hatua ya makundi ligi ya mabingwa Jumamosi

Ni wazi kocha atakayetangazwa sio miongoni mwa wale waliokuwa wakitajwa awali ambao ni mkufunzi wa zamani wa USM Alger Abdelhak Benchikha na Sven Vandenbroeck kwani mahitaji yao hayakwendana na mipango ya Simba

Kocha Radhi Jaidi raia wa Tunisia ndiye anayeonekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumrithi Robertinho licha ya kuwa Simba pia ilifanya mazungumzo na Fernando Da Cruz Mkufunzi raia wa Ufaransa aliyewahi kuinoa klabu ya FAR Rabat ya Morocco

Jaidi amewahi kucheza timu ya Taifa ya Tunisia akiwa ni mlinzi wa kati pia amewahi kuinoa klabu ya Esperance na kuipa taji la Super Cup

Kocha huyo mwenye leseni ya UEFA Pro, anapenda kutumia mfumo wa 4-3-3, mewahi pia kuwa Kocha Mkuu wa Hartford Athletic inayoshiriki Ligi ya Marekani (USL Championship) huku akiwa pia kocha msaidizi wa timu ya Cercle Brugge ya Ubelgiji kabla ya kutua Esperance ya Tunisia alioachana nao mwaka jana akitoka kuwapa taji la Super Cup kwa kuifunga CS Sfaxien

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
8h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
8h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
12h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
16h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
18h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
19h ago
READ MORE β†’