Klabu ya Tanzania Prisons inayoshiriki ligi kuu ya NBC imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha wake mkuu Fred Felix Minziro kwa makubaliano ya pande mbili