Azam - Mtibwa - Dodoma - Singida - Local

Azam Fc, Singida FG viwanjani Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Nov 2023
Azam Fc, Singida FG viwanjani Ligi Kuu

Baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA, Ligi Kuu ya NBC imerejea kwa kasi leo mechi mbili zikitarajiwa kupigwa

Matajiri wa Chamazi, Azam Fc watakuwa katika uwanja wao wa Azam Complex kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo utakaopigwa saa 12:30 jioni

Azam Fc wanashika nafasi ya pili katika msimamo wakiwa na alama 19 ushindi katika mchezo huo utawaogeza karibu na vinara Yanga wenye alama 24

Mtibwa Sugar inachechemea, inazihitaji alama tatu za leo ili kujiondoa chini ya msimamo wa ligi

Mchezo mwingine utakaopigwa leo ni derby ya kanda ya kati kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Singida FG ambao utapigwa saa 3 usiku uwanja wa Jamhuri

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’