Simba yaifuata Jwaneng Galaxy Botswana

Joel JJ By Joel JJ β€’ 1st December 2023


Simba yaifuata Jwaneng Galaxy Botswana

Kikosi cha Simba kimeondoka Tanzania alfajiri ya leo Ijumaa kuelekea Botswana ambako kesho Jumamosi wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Jwaneng Galaxy

Kila la kheri Simba, matumaini ya Watanzania ni ushindi katika mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.