Simba yaifuata Jwaneng Galaxy Botswana

Joel JJ By Joel JJ β€’ 1st December 2023

Simba yaifuata Jwaneng Galaxy Botswana

Kikosi cha Simba kimeondoka Tanzania alfajiri ya leo Ijumaa kuelekea Botswana ambako kesho Jumamosi wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Jwaneng Galaxy

Kila la kheri Simba, matumaini ya Watanzania ni ushindi katika mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni

More Stories

Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026
Today, READ MORE β†’
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Today, READ MORE β†’
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Today, READ MORE β†’
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yesterday, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’