Namungo - Local

Buswita amewaka msimu huu

Joel JJ By Joel JJ
4 Dec 2023
Buswita amewaka msimu huu

Jana Namungo Fc iliichapa Dodoma Jiji bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkaoni Lindi

Bao pekee la ushindi kwa Namungo Fc liliwekwa kimiani na kiungo mshambuliaji Pius Buswita

Buswita mpaka sasa ana jumla ya magoli manne (4) akiwa ndiye kinara wa magoli kwa Namungo FC akifuatiwa na Reliants Lusajo mwenye magoli mawili

Wanaoongoza kwa magoli kwenye NBC Premier League msimu huu ni Stephane Aziz Ki, Jean Baleke na Maxi Mpia Nzengeli ambao kila mmoja ana magoli saba

Namungo Fc wamesogea mpaka nafasi ya nane kwenye msimamo wa ligi wakikusanya alama 14

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →