Simba - Local - Transfer

Nyota Mtibwa Sugar kutua Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Dec 2023
Nyota Mtibwa Sugar kutua Simba

Uongozi wa Simba tayari umeanza mchakato wa maboresho ya kikosi takribani siku 12 zikisalia kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa (Disemba 16)

Imeezwa kuwa Simba imemnasa winga hatari wa Mtibwa Sugar Ladack Chasambi

Nyota huyo alikuwa akiwindwa na vigogo wote kutoka jijini Dar es salaam (Simba, Yanga na Azam Fc) lakini ni kama Simba imeshinda vita ya kumsajili

Chasambi amekuwa mchezaji tegemeo katika kikosi cha Mtibwa Sugar ambacho msimu huu kina mwendo wa kusuasua

Simba imeruhusiwa kuzungumza na mchezaji kukubaliana maslahi binafsi baada ya kuwa tayari imefikia makubaliano na Mtibwa Sugar

Chasambi atakuwa mchezaji wa kwanza kutua Msimbazi pale dirisha dogo litakapofunguliwa 

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’