Transfer - International

Tetesi za soka Ulaya, Jumanne Disemba 05 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Dec 2023
Tetesi za soka Ulaya, Jumanne Disemba 05 2023

Mlinda lango wa zamani wa Manchester United na Hispania, David de Gea (33) yuko tayari kujiunga na Newcastle United ili kuziba pengo la mlinda lango wao aliyeumia Nick Pope (31) kwa mujibu wa gazeti la Telegraph.

Beki wa zamani wa Ufaransa, Raphael Varane (30), ameelezea nia ya kusalia Manchester United baada ya dirisha la usajili la Januari. (Manchester Evening News)

Manchester United , Arsenal na Chelsea wanamfuatilia mlinda mlango wa Ufaransa Mike Maignan (28), huku akikwama kusaini mkataba mpya na AC Milan. (Footmercato)

Bayern Munich wanakabiliwa na kibarua cha kumbakisha mshambuliaji Mfaransa, Mathys Tel, 18, huku vilabu kadhaa vya Ligi Kuu ya Uingereza vikimtaka kwa mujibu wa gazeti la Bild

Jean-Philippe Mateta anatafuta kuondoka Crystal Palace mwezi Januari na Eintracht Frankfurt inaweza kumpa mshambuliaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26 ruhusa ya kuondoka. (The Athletic)

Newcastle wanatazamiwa kumsajili kiungo wa kati wa Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza, Kalvin Phillips (28), mwezi Januari. (Rudy Galetti)

Juventus pia wanamtaka kiungo wa kati wa zamani wa Leeds, Phillips na wanaweza kujaribu kumsajili kwa mkopo mwezi Januari. (Metro)

Chelsea na Manchester City zinaonesha nia ya kumnunua kiungo wa kati wa River Plate, Claudio Echeverri (17), mshambuliaji Agustin Ruberto, (16) na winga Ian Subiabre, ambao walionyesha uwezo mkubwa huko Argentina kwenye Kombe la Dunia la chini ya umri wa 17 hivi karibuni. (90Min)

West Ham, Burnley na Sheffield United wanatazamiwa kusaka saini ya beki wa Derby, Muingereza, Eiran Cashin mwenye umri wa miaka 22. (TeamTalk)

Everton wana nia ya kumsajili beki wa Lyon mwenye umri wa miaka 22 kutoka Ireland, Jake O'Brien mwezi Januari. (Footmercato)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
47m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’