Kikosi cha Yanga leo JUmanne Desemba 5 alfajiri kimeanza safari kuelekea Ghana kwa ajili ya kupambania kupata pointi tatu muhimu katika mchezo unaofuata kwenye ligi ya mabingwa dhidi ya Medeama Fc
..... download Xtra 90 App