Simba - Local

Simba safarini Morocco

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Dec 2023
Simba safarini Morocco

Msafara unaojumuisha wachezaji 23 wa Simba, umeondoka saa 9 Alasiri leo kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Wydad Athletic

Simba imeondoka nchini na Qatar Airways ambapo watasafiri mpaka Qatar ambako wataunganisha ndege nyingine kuelekea Casablanca na baadae kuelekea Marakech

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesena wanakwenda Morocco wakiwa na ari kubwa kwenda kusaka alama tatu ugenini

"Chini ya kocha Benchikha, fitness ya wachezaji wetu imeongezeka kwa kiwango cha hali ya juu, hili linatupa matumaini kuwa tuko katika njia sahihi ya kufikia ubora ambao kila mmoja anataka kuuona"

"Wapinzani wetu katika kundi kila mmoja amevuna alama tatu kutoka kwa Wydad hili linatupa mtihani mgumu nasi kuona tunakwenda kuvuna chochote ugenini," alisema Ahmed

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
31m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’