Pongezi zimeendelea kumiminika kutoka kila kona kwa timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars ambayo jana ilifanikiwa kufuzu fanali za Wanawake, Afcon 2024
Twiga ilikata tiketi hiyo baada ya ushindi wa jumla wa mabao 3-2 dhidi ya Togo, baada ya kushinda mchezo wa kwanza nyumbani kwa mabao 3-0 na jana kupoteza ugenini kwa mabao 2-0
