Geita - Local

Geita Gold yambadilishia majukumu CEO

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Dec 2023
Geita Gold yambadilishia majukumu CEO

Uongozi  wa klabu ya Geita Gold leo umefanya mabadiliko ya kiutendaji katika nafasi ya Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo iliyokuwa inatumikiwa na Bwana Saimon Joseph Shija

Taarifa iliyotolewa na Geita Gold imebainisha kuwa Shija amepangiwa majukumu mengine

Nafasi hiyo kwa sasa itakaimiwa na majukumu yote ya kiutendaji yataratibiwa na Katibu msaidizi wa Klabu hiyo Bwana Ramadhan Bukambu, hadi pale klabu itakapoamua maamuzi mengine

Saimon Shija amehudumu katika nafasi hiyo ya Mtendaji Mkuu wa klabu ya Geita Gold Fc tangu mnamo mwaka 2021

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
59m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
15h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
21h ago
READ MORE β†’