Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limeifungia klabu ya Singida Fountain Gate FC kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake Pascal Serge Wawa baada ya nyota huyo raia wa Ivory Coast kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo
..... download Xtra 90 App



