Simba - Local

Kocha Simba anataka ushindi dhidi ya Wydad

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Dec 2023
Kocha Simba anataka ushindi dhidi ya Wydad

Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Wydad ambao utapigwa kesho Jumamosi huko Marrakesh, Morocco

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kueleke mchezo huo, Benchikha amesema anatambua hautakuwa mchezo rahisi lakini kutokana na umuhimu wake wanahitaji kupambana kuwania ushindi

Benchikha amesema anawafahamu vyema Wydad Athletic, ana imani vijana wake watakuwa bora katika mchezo huo

"Hii ni mechi nyingine ngumu tuliyokuja kucheza huku ugenini tukiwa na lengo la kutafuta ushindi"

"Nawafahamu Wydad, hii sio mara ya kwanza kukutana nao, wana timu nzuri ila naamini tuko tayari na tutakuwa bora dhidi yao," alisema Benchikha

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi saa 4 usiku kwa saa za Morocco

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’