Yanga - Local

Yanga, Medeama hakuna mbabe

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Dec 2023
Yanga, Medeama hakuna mbabe

Mtanange dume kati ya Medeama dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Baba Yara huko Ghana umemalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Medeama walitangulia kufunga kupitia mkwaju wa penati kwenye dakika ya 27 kupitia kwa Jonathan Sowah kabla ya Pacome Zouzoua kusawazsha kwenye dakika ya 36

Ulikuwa mchezo wa wazi timu zikishambuliana kwa zamu, Yanga ikipoteza nafasi kadhaa adimu

Alama moja ugenini ina thamani kubwa kwa Yanga kwani Wananchi watahitaji kushinda mchezo unaofuata dhidi ya Medeama utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa ili kusogea juu kwenye msimamo

Aidha Al Ahly nayo imelazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya CR Belouizdad huko Misri

Matokeo hayo yanafanya kila timu kwenye kundi D iwe na nafasi ya kusonga mbele

Al Ahly wanaendelea kuongoza wakiwa na alama 5 wakifuatiwa na CR Belouizdad yenye alama nne sawa na Medeama. Yanga inashika nafasi ya nne ikiwa na alama mbili

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’