Juventus - Italy - International

Chiellini atangaza kustaafu soka

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Dec 2023
Chiellini atangaza kustaafu soka

Beki wa zamani wa Juventus Giorgio Chiellini ametangaza kustaafu soka leo,Jumanne, Desemba 12

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 39 alitumia misimu miwili iliyopita katika LAFC na alikuwa amedokeza hivi majuzi kwamba angeweza kustaafu baada ya mwisho wa msimu kwenye MLS

Timu yake ya LAFC ilipoteza Fainali ya Kombe la MLS Jumamosi usiku. Chiellini alifunga mabao 36 katika mechi 561 akiwa na Juventus, akishinda mataji tisa ya Serie A, matano ya Supercoppa Italiana na matano ya Coppa Italia

Pia alifika Fainali ya Ligi ya Mabingwa mara mbili, mnamo 2015 na 2017. Aliwahi kuwa nahodha wa Italia katika michuano ya Euro 2020, iliyoshinda na Azzurri kwenye Uwanja wa Wembley

Chiellini anaweza kurejea Juventus baada ya kumalizika kwa maisha yake ya uchezaji. Kaka yake Claudio tayari ni sehemu ya klau hiyo, akifanya kazi kama Mkuu wa Eneo la Next Gen

Beki huyo mashuhuri pia ameweka mlango wazi wa kufanya kazi katika MLS ili kuchangia maendeleo ya ligi hiyo

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
43m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’