Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeitoza faini ya sh1 milioni Singida Fountain Gate kwa kosa la kuvamia Uwanja wa Liti wakati wa mazoezi ya mwisho ya Coastal Union siku moja kabla ya mchezo baina ya timu hizo na kusababisha vurugu
..... download Xtra 90 App



