Simba - Wydad - Local

Wydad watua kuikabili Simba Ligi ya Mabingwa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
16 Dec 2023
Wydad watua kuikabili Simba Ligi ya Mabingwa

Klabu ya Wydad Athletic imetua Dar es Salaam tayari kuivaa Simba SC kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumanne ya Desemba 19

Mchezo huo muhimu kwa kila timu, utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Wydad walishinda bao 1-0 mchezo wa kwanza dhidi ya Simba uliopigwa Morocco wiki iliyopita na kufikisha alama tatu wakisogea nafasi ya tatu kundi B

Simba inayoshika nafasi ya nne ikiwa na alama mbili itahitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kutinga robo fainali

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
46m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’